IGP SIMON SIRRO AMEMUAPISHA KAMISHNA WA POLIS ZANZIBAR
Leo, February 12, IGP Simon Sirro amuapisha Kamishina huyo kwa niaba ya Rais Magufuli
February 10, Rais alimpandisha cheo Mohamed Hassan Haji kutoka Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) na kuwa Kamishna wa Polisi (CP), na kisha kumteua kuwa Kamishna wa Polisi Zanzibar.
No comments