Header Ads

PROFESA NDALICHAKO KUMSOMESHA MDOGO WAKE AKWILIN

    Waziri wa Elimu, Profesa Joyce Ndalichako ameahidi kumsomesha mdogo wake Akwilina Akwilini, Angela Akwilini ambaye kwa sasa anasoma kidato cha tatu.  
   Profesa Ndalichako ameahidi atamsomesha mpaka chuo kikuu.
    Amesasema hayo wakati leo  Februari 23, 2018 wakati akizungumza baada ya mazishi ya Akwilina huko Rombo mkoani Kilimanjaro.
Ikimbukwe kuwa Akwilina aliuwawa  kwa kupigwa risasi Februari 16, 2018 eneo la Mkwajuni jijini Dar es Salaam wakati wa maandamano ya Chadema.

No comments