Header Ads

MCHEZAJI HAZARD HAIJAFAMIKA ATABAKI CHELSEA AU KWENDA BARCELONA

Winga na kiungo toka Chelsea, Eden Hazard yupo kwenye kizungumkuti cha kubakia katika klabu yake au kujiunga na Real Madrid.

Hazard mara nyingi amekuwa anakwepa kujibu pale akiulizwa kama anaondoka Chelsea au la.

Kipindi cha nyuma baba yake mzazi aliwahi kukaririwa akidai kuwa mwanae anataka kuchezea timu ya Real Madrid kwa msimu ujao.

Uvumi wa yeye kutaka kuondoka unaongezeka zaidi kwa kuwa amegoma hadi sasa kusaini mkataba mpya na Chelsea.

No comments